INASIKITISHA WATOTO WATEKETEA KWA MOTO WAKIWA WAMELALA TABORA
Miili ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8)na mdogo wake Emmanuel Paul(3) ambao wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani majira ya saa moja asubuhi peke yao huko eneo la mtaa wa Rufita Mwanza road Tabora mjini.
0 comments: