BLANDINA AWATAKA WASANII WAACHE KUOLEWA KWA KUKURUPUKA




MWIGIZAJI wa kike Witness Lunyungu Brandinaaliyetamba sana na filamu ya The Game na kuwa  maarufu amewaasa wasanii wenzake wa filamu kutokimbilia kuolewa na wanaume wasiowapenda sana kwani ni rahisi kupoteza vipaji vyao sambamba na ajira ya uigizaji...

Blandina  anadai  kwamba hata  yeye  alikumbwa na kadhia hiyo baada ya kuolewa na mumewe ambaye alimpiga marufuku kabisa kuigiza  na hivyo  kumfanya  "mother house".

Kuolewa ni heshima lakini kama ni mwigizaji kabla ya kuolewa lazima uongee vizuri na mpenzi wako anayetaka kukuoa"


"Ukikurupuka utajikuta  umekuwa mama wa nyumbani na kushindwa kujinunulia vitu vyako muhimu ambavyo kama mwanamke unavihitaji, maisha ya sasa si ya kumtegemea mtu,”anasema Brandina.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: