Roho Imeuma Sana Kulipizia Usaliti Kwa Mchumba Wangu


Mchumba wng nimeishi nae miaka takriban 11 toka yuko form 1 mpk kumaliza chuo,, nilikua nae Moro kwangu kwa miez takriban 3 nilimuona cm yake bize muda wote anapokea cm za watu tofaut tofauti ziczosaviwa waktambuana utackia uko wp mara nyng hujb hom akimaanisha Singida alipokua akisomea toka form 1 had 4 nakuish hapo ktambo kwa walezi wake na wengne kumuulza unakuja lin weng wao wakiwa Mwanza kwa wazaz wake na wengne Shinyanga alipokua akisomea chuo cha utalii mara nying aliwajb mwez ujao nakuja ila nilikuja mgundua jamaa m1 alikua bwana ake kipind me nimeondoka Singida kuja moro kusoma toka 2008 mpk this yr alikua nae tena alimpenda sn coz kimaisha alikua jamaa kishafanikiwa ana migari na mijumba me bado napanga kichumba k1,,,nilimmaind sn nkamuulza vzuri nkamwambia km unataka kua na mie chagua 1 lumuacha huyo fwala ako mpgie cm ryt nw umweleze jamaa akawa hapokei akamtumia sms jamaa akaumia sn miaka ming kaish nae akawabanajua ndo mke wke na kumtambulisha kila mahali na kamhudummia sn coz dem hana kitu wala kaz,,nikachukua cm kuona majib ya jamaa ucku mzma jamaa hakulala anatuma malalamiko me nayasoma2,,hapo ndan hapalalik kila m1 na upande wke,,baada ya hilo dem alionekana kumaind sn coz jamaa huduma,,baadae akataka tuwapgie na wa kwang nlokua nao chuo akamaind nkamwambia me hajaona hata cku 1 wakinsumbua nmeAchana nao kiukwel toka moyon na ukwel uko waz anajua,, baada ya hayo alianza kusema maza wake kagundua hayuko kwa walez wke Sngd hvyo anamtaka arud Mwz kuhani mamdogo ake alifiwa na mmewe kweli na mie niliendaga kumhan ila yy hakwendaga kwel,,,maza akawa anasumbua daily had akawa anazma cm ila nkagundua maza hatak awe kwang kabla ya Mahal,,baadae nilimtafutia naur akapanda bas safar ya Mwnz,,ila ujue dem ni mkali hatari ndo maana nilikua mdogo sn smtm,,kaondoka ila ckumuona km anadalil za kunimic anapoondoka akaomba vocha nikamjazia cm zOte mbili nikampa angalzo aczme cm tuwacliane mpk mwisho uzur cm zote zna chaj na vocha akasema poa,,nimakuomba cm ya maza ake kdogo wa kilimahewa atakae Tokea ucku Akazugazuga hakunpa wasiwas bnafs ukaanza,,maana anatakiwa aende kayenze kwa mamdogo ake kuhani ila kwa vile atafika ucku saa 5 0 6 atalala kwa Mamdogo ake wa kilimahewa asbh ndo aende kayenze ila ilipofika saa mbili akanambia wako Misungwi nkapa waswas baada ya nusu saa akasema mamdogo ake wako tayar nyegez wanamsubil na kudai washafika akazma na simu,,,wasiwas ukajaaa maana Moro wameondoka saa tano Mwanza wangefika kuanzia saa sita huko,,nimekesha napga cm haipatkan tena zote mbili na cm ya mamdogo ake wa kilimahewa cna ndo nkachoka zaid kesho yke asbh napga tena hakuna kitu nkampgia mamdogo ake lika lake wa kayenze ambaye mdogo wa yule alofiwa akanambia alisema analala kilimah huku hajafika bado nimemsumbua yule mamdogo mpk kwny saa Kimi hv naona micdcol ya mamdogo ake napga ndo ananambia anafika wakati umbali wa mwaza na kayenze ni lisaa2 namuulza kwa nn cm zake hazpatikan ananijb znapatkana ss hv ,,alilala wp anajb kwa madogo ake nikamaind sn axee kwa mtililiko huyo nkajua kashansariti kwa wale alokua anawajibu nakuja mwezi ujao nkafikilia kwa nn afanye hvyo kwan me co kijana juzi kuna demu langu nilisoma nalo chuo Dom lilikua liknsumbua coz ni zur sn na lilikua linagombaniwa na malecturer liko hapa mzumbe ckua hata na shida nalo coz nilijua tayari ninamke hvyo ntulie, akanpigia cm kuniulza km niko ofcn o wp nkamwambia aje2 nipo ofcn akaja anatafuta mtu wakumsaaidia kupata passport nikampgia jamaa ang m1 tukayaweka sawa ila alivyokua amevaa akanitia minyege na bahati nzur ofcn hakukuwa na watu wengi cku hyo nikambambia tukakzdiwa wote tukapanga tender geto akakubali ila akanpa shart kwamba twende tumpelekee beki 3 wao mboga coz wako hom yy na huyo bek 3 nkakubal tukiwa kwny gar nikwawa najiulza kwa nn nitende yote hayo kisa malipizi roho Ikaniuma sn nkachenjika nikaanza muomba Mungu aweke kikwazo kweli kufika kwao mtoto akaanza nambia tusubili msosi uive ndo tule tuondoke nikakubali ili tupoteze muda, moyon najiulza pakumpeleka ila nifkir geto naona km ntakuwa namzalilisha mke wng niksema lodge nako kwa nini userit wa malipizi roho ikaniuma na kuamua kuaga kwa lazma kna kucngizia naitwa na mshua kuna zarura hom tukabshana pale ila tukakubaliana na kuahidi kesho yke,,,ikawa imetoka hyo,,ila nahc cku hyo tunged0 czan km hata bao lingetoka nilihic km ningechanganyikiwa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: