Majanga:Nimempa Mimba, Sio Chaguo Simpendi na Sipo Tayari Kuoa
Hi adim mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26.hivi karibuni kuna binti kapata ujauzito wangu ktk wakati ambao sikutarajia na sikutegemea kutokea kitu kama hicho.baada ya wazazi wake kugundua ni mjamzito wakaamua kumuuliza mwenye mzigo ni nani na akanitaja mie.wazazi wake wamenitaka nimuoe wakati mi sijafikiria bado swala la kuoa na pili yeye sio chaguo langu la kumuoa napata wakati mgumu kutoa maamuzi na sijui nifanye nini.tafadali waungwana naombeni ushauri wenu
0 comments: