Wanawake walioko kwenye 30s na Uzoefu wa Kimapenzi


Wanajamvi habarini za jumatatu
Kwa uzoefu wangu wa miaka mingi na kupitia.majarida mbali mbali, ni maoni yangu kuwa wanawake walioko kwenye 30s kimapenzi:

1.ni wazoefu maana wameshapitia mengi
2.ni rahisi kufika kileleni maana wako a bit free..wameshajiestablish kimaisha nk
3. Kutokana na 2 apo juu wanafurahia zaidi tendo la ndoa
4.ni waelewa sana..sio nagging, kifupi wamekua.
5.ni wasafi, wanavutia sexually.

Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.

Ni mtazamo wangu tu.labda kwa vile mimi nipo kwen late 40s;)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: