AJALI MBAYA ENEO LA LUGALO JIJINI DAR
AJALI hii imetokea juzi asubuhi baada ya
magari kusimamishwa ghafla eneo la Lugalo, Makongo ili kuruhusu
wanafunzi wavuke ndipo lori liliposhindwa kusimama na kuparamia kingo za
barabarani kisha kuiangukia gari dogo aina ya Toyota Cresta 'GX 100
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: