MTU ALIYE ANGUKIWA NA ROLI LA MCHANGA JUZI AKIWA NDANI YA GARI MZIMA AMEUMIA KIDOLE TU
Huyu Jamaaa Ana Bahati Sana Aliangukiwa
na Roli likiwa na mchanga kama picha inavyoonyesha hapo juuu ..lakini
jamaa katoka mzima kabisa..kidole tu ndio kimeumia..Nilivyoona hii picha
ya Ajali kwa mara ya kwanza sikudhani kama driver atakuwa
kasalimika....Mungu Mkubwa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: