Ndege ya Oman
air na Ethipian airlines leo jioni zimegongana katika kiwanja cha ndege
cha Zanzibar wakati zikijitaarisha kuruka, ila ajali hii haikuwa kubwa,
wakati hayo yakiendelea abiria wa Ehiopian airline wameshushwa na kuweka
sehemu ya mapumziko.
Ndege ya kulia ni ya Ethiopian airlines mayo ndiyo imeivaa Oman air hadi bawa kutoka
source http://www.jestina-george.com
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: