MWANAMKE KICHECHE AMEZA SIMU BOYFRIEND WAKE ASISOME MESEJI....
Chanzo cha Spanish website Yipeta.com
kinasema, mwanamke wa miaka 19 kutoka Brazil anayeitwa Adriana Andrade
alikuwa so desperate kumficha boyfriend wake asisome meseji iliyokuwa
kwenye simu yake kiasi kwamba alipomwambia anaomba asome alikimbia.
Na alipofika mbali alifanya 'the unthinkable' akaimeza simu yake. Anatakiwa afanyiwe oparesheni ili simu hiyo itolewe
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: