WAISLAMU MSIKITI WA MTAMBANI 'WAMTEKA' ASKARI POLISI


Baadhi ya waumini wa Kiislamu Msikiti wa Mtambani wakiwa wamemzunguka askari Polisi, Jonathan Tossi (katikati aliyeshika kamera) wakimuhoji baada ya kumshikilia kwa muda, hata hivyo walimuachia kwa masharti ya kumtaka afute picha zote alizopiga eneo hilo.

Askari Polisi wakizunguka doria eneo la Msikiti wa Mtambani jijini Dar es Salaam kuhakikisha kuna amani.BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI ZAIDI
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: