JE SHOW ZA KANGA MOJA, NI SAWA KWA JAMII YA KITANZANIA..?HUYO NI MTOTO WA MIAKA 20 TU

Mtazame na huyu... nd'o walewale. Tatizo ni hiyo khanga yenyewe moja, ambayo unaambiwa imeloweshwa kidogo na kuwa ndembendembe! Kwanini wabunge wasihofie upotofu wa maadili?MAMBO YA UMBEA MTUPU BLOG

http://theclicktz.com/
Ohooo....! Hawa nao wamevaa vizuri katikati ya mwili, lakini chini ni khanga moja ndembendembe na bado wanajibinua kihasara hasara. Ni balaaa tupu!
Apo chachaaaa....! Huu wote ni uchokozi wa akina Khanga Moko
http://theclicktz.com/
Mama weeee.....! Hii si mitego jamani?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: