KIKWETE:TUNAWAJUA NA KUWATAMBUA MAJANGILI WA TEMBO TANZANIA.


Hivi kwa nini JK anaongea sana?

How hard is it kuwachukua hawa watu, na kuwafilisi kila kitu kisha kuwaachia huru?

Maana kuwafunga ni kumaliza pesa za walipa kodi kwani watakula bure jela

I'm very disappointed na hii softly softly approach ya JK.

Pia kwa nini ripoti ya Kamati ya Maliasili haiko wazi ili kila mwananchi mlipa kodi aisome na ajue hao watu wakubwa ni akina nani?

JK nakushauri vua kufia yako ya uanasiasa vaa kofia yako iliyokufanya ukaitwa COLONEL kule JWTZ

Na kama COMMANDER IN CHIEF wetu sote tuko nyuma yako.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: