RWANDA YAPANDISHA USHURU WA MAGARI YA MIZIGO YANAYOTOKA TANZANIA....
Serikali ya Rwanda imeongeza ushuru wa barabara (ROAD TOLL) kwa
magari yote ya Mizigo (Fuel and Dry Cargo) yenye plate numbers za
Tanzania kutoka USD 152 mpaka USD 500 kwa kila gari.
Kwa taarifa ambazo sio rasmi, kwa siku magari ya mizigo
takribani 300 yanavuka Rusumo ambapo ni mpakani mwa Tanzania na Rwanda na zaidi ya asilimia 95% ya magari
hayo yana plate number za Tanzania.
Wamiliki wa Malori wameiomba serikali kuingilia kati ili kunusuru hali hiyo.
Credit:JF
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: