ZITTO:SITOPOKEA POSHO YA 300,000 KWA SIKU KWENYE BUNGE LA KATIBA
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa
anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote
kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja
kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi
kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa
mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: