VIDEO:CHEKI YALIYOMTOKEA DEREVA MBISHI WA LORRY HUKO MOROGORO DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI


Huyu Dereva alionywa asipite yeye akajifanya comando John akawasha gari na kujaribu kupita ...kifika katikati lorry lote likazama ...hata sijui kama alipona huyu...angalia hii video ujionee
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: