MTU MMOJA AKUTWA AMEJINYONGA KWENYE MTI HUKO MOROGORO
Mwili wa mwanaume ambaye jina lake halikufahamika mara moja ukining'inia juu ya mti. Mwanaume huyu amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro. Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika. Kwa mujibu wa askari aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia juu ya mtu.
0 comments: