UREMBO!!!! NIFANYE NINI ILI KUONDOA VINYWELEO MWILINI MWANGU???? SOMA ZAIDI


 
Dada samahan ningependa kufahamu dawa ya kuondoa vinyweleo mwilini hususani miguuni na mikononi...

nisaidie napata shida na aman sina naitwa mary nipo dodoma!!!
 
 
WADAU TUMSAIDIE HUYU DADA AFANYEJE?????
 
NAWASILISHA KWENU

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: