HII NDIO RATIBA KAMILI YA MAZISHI YA NGWEA PINDI MWILI WAKE UTAKAPOFIKA...!!
Tuesday, June 4, 2013 | 3:37 PM
Wanakamati
wa mazishi pamoja na wasanii akiwepo Profesa Jay, Lady Jaydee, Fid Q, Stamina,
Juma Nature na wengine wengi wanaelekea uwanja wa ndege kutoka Viwanja vya
Leaders tayari kuupokea mwili wa Mangweha.
-Mwili utawasili saa 8 mchana huu.
-Baada ya mwili kuwasili uwanja wa ndege, utapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo utapokelewa na kuhifadhiwa.
-Baada ya kuhifadhi mwili, waombolezaji wataelekea Viwanja vya Leaders kwa maombolezo.
-Kesho saa 2 asubuhi mwili utakuwa Viwanja vya Leaders kwa ajili ya kuagwa mpaka saa 6 mchana.
-Saa 6 mchana mwili utasafirishwa kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya ratiba nyinginezo

endeleni hivyo wasanii wa muziki wa bongo.....R...I....P...Ngwea
ReplyDelete