AIBU: KIJANA ANASWA AKIUZA UUJME WA MTU....POLISI WATIA MBARONI
Jeshi la polisi nchini malawi
wanamshikilia kijana mmoja baada ya kumkuta akiuza sehemu ya siri ya
mwanaume.
Kijana huyo mwenye miaka 24 alikamatwa baada ya wananchi kutoa
ripoti kituo cha polisi kuwa kunamzee kalala relini huku akiwa anatokwa
damu nyingi
Polisi walifika eneo la tukio na kumkuta mzee huyo
akiwa hoi na kuamua kumkimbiza hosipitali.
Baada ya kufikishwa hosipitali,
madaktari gundua kuwa mzee huyo alikuwa amejeruhiwa kwa kukatwa
sehemu zake za siri...
Madaktari hao walilipoti kwa maofisa hao wa polisi na ndipo msako mkali ulipo pita katika wilaya ya Lakeshore mjini Salima na polisi hao kufanikiwa kumtia mbaroni kijana huyo baada ya kumkuta akiwa katika gesti bubu akijaribu kuuza uume huo kwa dola za kimarekani 360.

Mtuhumiwa Samuel Banda
Polisi walisema mtuhumiwa Samuel
Banda alikamatwa na kiungo hicho ambacho alikuwa amekifunga katika karatasi
nyeupe.
Mtuhumiwa alikiri kuwa huwa anauza viungo mbalimbali vya binadamu kwa wafanya biashara maarufu nchini humo ambao wanaamini wakivipata viungo hivyo huwasaidia katika biashara zao na huwaongezea utajiri.

KAKA EWE NI MAKALI,UNATISHA,HIYO KITU UNAZANI INADILI SANA KAMA ALBINO BONGO?
ReplyDelete