KAHABA ANASWA HUKO SINZA NA KONDOM KIBAOO, CHEKI HAPA UONE MWENYEWE UFUSKA


Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi. KABANG! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni    Fichua
Maovu (OFM) ya GPL wamemnasa mrembo Zuena Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha gesti na kuingiza wa- naume kwa zamu usiku kucha
 


Zuena Mohammed akivaa nguo zake baada ya kunaswa na mteja chumbani.
Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ng0no.

AFM Watonywa.
Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake.
Chanzo: Jamani OFM mpo ka- zini?
 
…akijifunika uso kwa aibu.

OFM: Tumejaa tele leta maneno.
Chanzo: Mimi naitwa (anataja jina) lakini naomba msinitaje. Kuna mrembo mmoja amekodi chumba gesti…yaani anapanga wanaume foleni anagawa dozi ya penzi.
OFM: Hatuwezi kukutaja tuna- heshimu vyanzo vyetu vya habari. Una uhakika na taarifa zako?
Chanzo: Nina uhakika asili- mia zote. Ninyi nendeni pale Mori Lodge maeneo ya Sinza, fanyeni kazi yenu mtapata mkanda kamili.
 
…akiwa na polisi (kulia).



OFM kazini
Baada ya kupenyezewa ‘tipu’ hiyo, OFM iliingia kazini na ‘kuliteka’ eneo la tukio kwa uchunguzi na kubaini undani wa ufuska huo wa kutisha.
Kabla ya yote ‘memba’ wa OFM alijifanya mmoja wa wanaume waliokuwa wakihitaji huduma ya mrembo huyo hivyo kujipatia data nyingi kabla ya kubadilisha uamuzi baada ya kupata ishu kamili.
 


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: