MSANII WA TIPTOP CONECTION AKAMATWA NA GUNIA AROBAINI ZA BANGI, SOMA MKASA MZMA HAPA


Msanii anaejulikana kwa jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo. akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka mkoani tanga
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: