HIVI NDIVYO TOTO PATY YA DIAMOND PLATNUMZ ILIVYO FANA WATOTO WAZIDI KUMPAISHA




D7Leo msanii Diamond Platnumz aliandaa party kwa ajili ya watoto wote ambao walikusanyika Leaders Club kwa ajili ya michezo mbalimbali,kama kukimbia,kucheza mpira na vingine kibao.
D10Kizuri kwenye toto party hii Diamond aliwachezesha watoto nyimbo yake ya My number one na waliocheza vizuri alitoa dili ya kuwasomesha kuanzia elimu waliyonayo mpaka wanamaliza.
Hizi ni baadhi ya picha kwenye party hii.
D8
D31
D28

D24
D23
D21
D22
D20
D18
D17
D16
D15
D14
D13
D12
D10
D9
D7
D6
D3
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: