Kesi inayomkabili
waziri mkuu Mizengo Pinda na mwanasheria mkuu wa serikali imetajwa
mahakamnai kwa mara ya kwanza ambapo wamewasilisha pingamizi la
awali dhidi ya kesi ya kikatiba waliyofunguliwa na kituo cha msaada wa
kisheria na haki za binadamu kwa kushirikiana na chama cha wanasheria
Tanganyika. 
0 comments: