DIVA: **"MTU AKISEMA MIMI NI RAFIKI YAKE ANAJIDANGANYA, MIE HUWA NACHORA TU WATU"


Maneno ya Diva aliyoandika haya hapa:

"Just Saying… maana hawa hawa wanaozunguka wenzao na kujifanya wanajali ndio wanafiki na wambea hatari. nashukuru Mungu sinaga rafiki hata wakumpa siri zangu maana …… ##na kiukweli mtu akisema mie rafiki yake anajidanganya. mie huwa nachora tu watu hata sometimes nikiwa naongea nao, very selective. na Mpaka dakika hii miaka 4 sasa sinaga so called rafiki kibongobongo. no new friends. i ‘m always into My highschool buddies yaani. so know your Options and make the right choice"

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: