MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR NAE AUNGANA NA UKAWA ASEMA SEREKALI TATU NDIO MPANGO MZIMA


Katika hali ya kuonyesha kuwa ma-Interahamwe - ccm yanazidi kudhoofika kutokana na dhuluma yao kwa kufidhuli maoni na ukweli wa umma, Mwanasheria Mkuu wa Z'bar amewaumbua wanafiki wana-ccm wenzake na 201 waliobaki bungeni kuwa Serikali 3 ni ukweli uliopo wazi na ndivyo hata Katiba ya sasa inavyothibitisha, na hivyo ni ngumu sana kuufunika ukweli huo wakati Katiba ya sasa inazitaja wazi kuwa muungano wetu 'UNAUNDWA NA NCHI 2' na ni ngumu mno kuitaja Z'bar bila kuonyesha nchi ya pili ni ipi, kwa hivyo serikali 3 ni jambo lililosemwa hata ktk Katiba tuliyo nayo! Kauli liyowaacha CCM - interahamwe midomo wazi, kimyaaa na kwa aibu kubwa hawakuthubutu kumzomea, bali wameugulia mioyo, na kuguna kichinichini...unafiki na aibu! 
Source ITV News. 

My Take: TANGANYIKA ni TAIFA lisiloweza kuzuilika, Z'bar ni taifa lisiloweza kuzuilika, Serikali 3 ni mfumo usiozuilika na watawala waliojaa woga...! CCM wanaweweseka kila kukicha, wanaweka vikao vingi gizani na kusambaza fedha za udhalimu, za sembe, na dentals la nyara zetu ili kuendelea kutawala kidhalimu...lakini mkono wa Mungu unathibitisha ktk mwanga kuwa Watanganyika na Wazanzibar watawekwa huru...tena UHURU wa kweli na uliolindwa kwa mikono ya Mungu na Umma!

Naomba kuwasilisha!
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: