SHILOLE ATAMBA NA UPAJA WAKE, MABUZI YAISOMA NAMBA


http://theclicktz.com/

Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
Katika tukio la hivi karibuni ndani ya Ofisi za Global Publishers, Mwenge Bamaga jijini Dar, alipofika kwa ajili ya mahojiano na Global Television Online inayorushwa kupitia mtandao wa www.globalpublishers.info, msanii huyo alitakiwa kupozi ili apigwe picha lakini cha ajabu alipandisha juu kigauni chake na kuonesha kipensi kifupi alichokuwa amevaa huku akidai ana paja la maana hivyo hana sababu ya kulificha.
http://theclicktz.com/“Mguu ninao, paja ninalo kwa nini nijifichefiche bwana?” Alisema Shilole na katika mahojiano alidokeza kuwa, mabuzi anayo na lazima ayachune kwani yeye ni mtoto wa kike.
-GPL
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: