MZEE MAJUTO APIGILIA MSUMARI KAULI YA KALA JEREMIAH.."SOKO LA FILAMU HALILIPI BONGO BORA NIKALIME"
Mzee Small Ameliambia Gazeti Moja la Michezo Hapa Bongo kuwa Tasnia ya Filama Bongo Hailipi kabisa kwani walio shikilia soko wana Masharti magumu sana hivyo kujikuta msaanii hapati chochote ...Amezidi kusema kuwa ni bora aende akalime..Amesema kuwa akipata mfadhili wa kumpa Trekta basi atahama mjini na kwenda kulima kijijini...
Kauli hiyo inapigilia msumari kauli nyingine alie itoa msaani Nguli wa Bongo Flava Kala Jeremiah aliyosema kuwa hana sababu ya kuingia kwenye Tasnia hiyo kwani Hailipi hapa Bongo.....
Unaonaje ?
Udaku Specially.com
0 comments: