KAULI YA MWANASHERIA KUHUSU SAKATA LA OKWI KUICHEZEA YANGA
Mwanasheria WA TFF, Allex Mgongolwa
amesema kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kucheza Yanga na wala
Sakata lake lisipotoshwe. Mgongolwa alisema watu wamekuwa wakipotosha
kuhusu Sakata la mchezaji huyo "Hicho kipengele wanachosema kama
amecheza klabu mbili kwenye mashindano husika haruhusiwi kucheza klabu
ya tatu, kipengele hicho kingepata nguvu kama kungekuwa na zuio la muda,
lakni hakuna zuio lolote, ndio maana Fifa wakamruhusu" source Mwananchi
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: