ZITTO ASHINDA PINGAMIZI DHIDI YA CHADEMA-SASA UANACHAMA WAKE KUAMULIWA NA BARAZA
Judge kaamua kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake.
Kamati kuu ya chadema haitajadili uanachama wake au chombo chochote hadi kesi ya msingi isikilizwe.
0 comments: