Ashley Toto; msanii mpya wa movie anayechipukia nje ya nchi
Ashley Toto, mrembo ambaye kwa sasa anaishi Ujerumani, ni muigizaji mpya wa filamu anayechipukia akiwa ughaibuni. Ashley tayari ameigiza kwenye filamu ndogo inayoitwa “MOYO WANGU;” mojawapo ya filamu za Kiswahili zinazotengenezwa nchini Denmark ili kuunganisha nguvu za kutangaza filamu na tamaduni za kiafrika nje ya bara la Afrika.
Hivi karibuni Ashley, ambaye ni mzaliwa wa Kenya, alikua nchini Denmark akitokea Ujerumani kwa ajili ya kuigiza kwenye filamu hiyo.
kampuni ya VAD film production iliopo nchini Denmark pia imesema kuwa ni kweli Actress huyo anayechipukia kwa kasi kwa sasa na mwenye mvuto wa kipekee anatarajiwa kuwa kwenye movies watakazotoa.
Ashley mwenyewe alipohojiwa alisema alipenda kuwa Actress tangu utotoni na ameamua kujitambulisha katika game
0 comments: