ZILE GUVU ZA SODA ZA MTANASHATI ENTERTAIMENT ZIKO WAPI...WASANII WAKE HAWAJIELEWI
Hiyo habari imenifanya nijiulize maswali mengi sana ......Mtanashati walianza kwa nguvu sana kwa kuwachukua wasanii kwa mikwala mingi kama mnakumbuka issue ya Dogo janja alipotoka Tip top Watanashati walimsafirisha kwa ndege Dogo janja kutoka Arusha pamoja na kumpa ahadi kibao ...Lakini Nahisi kwa sasa Dogo Janja Anaimiss Tip top ....Maana nae nikama Yupo yupo tu .....Sina uhakika na hao members wengine sijapata muda wa kuwafatilia kazi zao
Ostaz Juma Vipi ...Mbona ile mikwara yako hatuisikii tena ? ama umebadili Biashara?
0 comments: