MFAHAMU STAR WA BONGO ANAYEONGEA KINGEREZA KIZURI NA FASAHA KULIKO WOTE BONGO..!!
Kwa uchunguzi uliochukua karibuni mwezi mzima blog yako ya UMBEA WA MJINI imegundua kuwa msanii na mtangazaji Vee Money au kwa jina la kwenye cheti cha kuzaliwa Vanessa Hau Mdee ndiye Celebrity wa bongo anaye weza kuongea kingereza kizuri na fasaha kwa muda wowote bila kupindisha
,
Ingawa wapo wengine wengi
wanowezeza kuongea hivyo lakini kura za wengi zilizotumwa kwetu
zimemlenga Vanessa Mdee kuwa ndiye Msanii wa bongo anae ongea vizuri
Lugha hiyo ya kigeni, Tuli bahatika kupitia baadhi ya vipindi vyake
katika kituo ch redio cha choice fm kilichopo dar es salaam na
tukaligundua hilo vile vile Vanessa ndiye aliyekuwa first ever MTV VJ
kutoka Tanzania
0 comments: