MKE ACHOMWA KISU JICHONI NA MUMEWE BAADA YA KUFUMANIWA NA MWANAUME MWINGINE....
Mwanamke mmoja ambaye mpekuzi wetu toka Nigeria hakuweza kulitambua jina lake amechomwa kisu jichoni na mume wake baada ya kufumaniwa akigawa tunda kwa mwanaume mwingine ambaye ni rafiki yake wa damu....
Inaarifiwa kwamba, mume wake alipewa taarifa na jirani yao kwamba mkewe yuko ndani na mwanaume mwingine ambaye ni rafiki yake....
Baada ya taarifa hiyo, mume huyu alifunga safari kuelekea kwake na akamkuta mkewe akisaliti penzi lao ndani ya kitanda chao..
Kitendo hicho kiliongeza hasira kwa jamaa huyo ambaye alijikuta akimchoma
0 comments: