ANGALIA SALAMA JABIR ALIVYOWATUSI MASHABIKI KWA ISHARA YA KIDOLE
**
*Mtangazaji wa Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani kupitia kituo cha
EATV Salama Jabir, wa pili kutoka kushoto akidauiwa kutukana kwa
kutumia ishara ya kidole wakati walipokuwa kwenye moja ya haraka za
kurekodi matukio ya kipindi cha EPIQ BSS 2013, kinachorushwa hewani
kupitia kituo cha TBC1, Salama alifanya kituko hicho akiwa ameketi
mezani na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Profesa Jay wa kwanza
kutoka kushoto,mratibu wa Shindano la Bongo Star Search
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: