SHEIK PONDA ANYIMWA DHAMANA, NA KURUDISHWA MAHABUSU
Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya kiislamu
nchini, Sheik Ponda amerudishwa tena maabusu baada ya kunyimwa rufaa ya
kesi yake iliyokuya ikisikilizwa leo katika mahakama ya Hakimu mkazi
mfawidhi mkoani Morogoro. Kesi iyo imehairishwa hadi tarehe 1/10/2013
PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO KATIKA KESI HIYO
WAFUASI WAKE
ULINZI MKALI
0 comments: