INASIKITISHA.., MTU MMOJA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA SIMBA HUKO MKOANI LINDI.
Hivi karibuni mdau wa website ya masainyotambofu akiongea kwa njia ya
simu ya kiganjani kutoka huko mkoani LINDI wilaya ya NACHINGWEA katika
kijiji cha ''LIONJA'' Alitoa taarifa kuhusu Mtu huyu mwenye umri wa
miaka (45) ameuwawa na simba wakati akienda shambani kwake alfajiri
kwenda kuangalia korosho wakati akielekea shambani ndipo aliposhambuliwa
na simba hao wawili kabla ya tukio hilo simba hao walikuwa
wakishambulia mbwa katika kijiji hicho, Tukio hili lilijiri siku chache
zilizopita, M/mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi,
Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuuona mwili wa marehemu.
-Mwanahabariuswazi
0 comments: