Hatimaye ule mnara kwa ajili ya kumkumbuka mwandishi wa habari Daudi
Mwangosi aliyeuwawa kwa bomu la polisi mbele ya Rpc Kamhanda wajengwa
kijijini Nyololo...
Aluta continue!!
R.I.P. Mwangosi. Walaaniwe wote waliopanga, kusimamia na kutekeleza
mauaji ya mtu asiyekuwa na hatia! Watu hawa ni heri wasingelizaliwa!
Kamuhanda, umesimamia mauji ya Mwangosi na ukapandishwa cheo. Utadumu
nacho milele? Wewe utaishi dunia hii milele?
Ni furaha gani uliyo nayo
moyoni kupata cheo baada ya kumwaga damu isiyokuwa na hatia. Muda si
mrefu utastaafu kama ulivyosema unataka ustaafu vizuri. Hivi mtu akiua
ndio anastaafu vizuri?
Kifo chako hakitakuwa chema na ni wazi hata
familia yako hawana amani na cheo chako kinachotokana na kuangamiza roho
isiyokuwa na hatia. Ulaaniwe duniani na mbinguni!
Mdogo wake Daudi Mwangosi akiwashukuru Chadema na wananchi wa Nyololo kwa kuweka kumbukumbu ya kaka yao mpendwa...
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: