KADA WA CHADEMA ASHAMBULIWA NA KUJERUHIWA VIBAYA KWA SHOKA NA WATU WASIOJULIKANA..TAZAMA PICHA YA TUKIO HILO HAPA...!!
Thursday, June 6, 2013 | 12:38 PM
Ni
siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya
kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na
kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao. Tumetoka hositali ya Mount
Meru kumuona tukiwa na Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema.
0 comments: