HAPA NDIPO ALIPOLALA MPENDWA WETU ALBERT MANGWEA....R.I.P BROTHER....!!
Tuesday, May 28, 2013 | 11:35 PM
Ngwea amefariki dunia leo asubuhi katika moja ya vitongoji
vya jiji la Johannesburg na baadaye wenzake walimkimbiza katika Hospitali ya St
Helen Joseph
0 comments: