BREAKING NEWS: ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA....


Habari  zilizotufikia  ni  kwamba  msanii  Albert Mangwair  amefariki  dunia akiwa  Afrika  kusini

Chanzo  cha  kifo  hicho  bado  hakijafahamika  lakini  taarifa  za  awali  zinadai  kuwa  msanii  huyo  hakuamka  tangu  alipolala  .

Mtandao huu unaendelea  kuifuatilia  habari  hii  

R.I.P   Ngwair
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: