BREAKING NEWS:DARAJA JINGINE JIJINI DAR LAKATIKA JIONI HIII


Habari zenu wakuu,..

Ni daraja la Mzinga huko Mbagala Kongowe,.

Hili ni daraja la pili ukitoa lile la bunju nalo lililovunjika leo, pia daraja la Jangwani pia lipo hatarini kuvunjika kutokana hizi mvua zinavyozidi kunyesha,.


Serikali inabidi kufanya la ziada juu ya ujenzi wa miundo hii muhimu!!


Source: Clouds fm
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: