NAPE "WANAOTAKA SEREKALI TATU NI WAHUNI"


"Wanaotaka serikali tatu ni wahuni" Nape Nnauye:Hii kauli ya Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM,Nape kumtukana Mwenyekiti wa chama chake na Raisi wa nchi.

Tume inayongozwa na Jiji Warioba,iliteuliwa na Raisi hivyo kuwaita wanaotaka serekali tatu ni wahuni,afahamu kwamba kamtukana mkuu wake na sio mwingine.

Na kama raisi alipokea maoni rasimu iliyokuwa na serekali tatu,ambazo Nape anaita ni wahuni,sasa asilimia 63% ya watz ni wahuni?

JK hataki misimamo ya vyama bungeni, nyie serekali mbili mnatoa wapi?

Maoni ya watanzani yanatakiwa kuheshimiwa na kulindwa kwa gharama yoyote hata ikibidi,kumwajika kwa damu,Lengo kuheshimu Sauti ya Umma
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: