DIVA WA CLOUDS FM AWEKA KILA KITU ADHARANI KUHUSU UHUSIANO WAKE WA KIMAPENZI YEYE NA GKDiva Clouds fm anazidi kuvunja ukimya na kuweka wazi juu ya mahusiano yake na Msanii aliyekuwa anaunda kundi la East Coast King Crazy GK baada ya hapo jana kutupia picha katika akaunt yake ya instagram na kufunguka.. 

Nanukuu Caption iliyo katika hiyo picha aliyoweka diva "have a Beautiful sunday... i gotta man to take care of... Ofcoz my GK.. love y'all .. and kasema kawa miss sana but he is busy with His Masters at Mzumbe Uni .. so love from US..


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: