NEWZ ALERT!! HAWA NDIYO MAWAZIRI WAPYA!!




Saada Mkuya ni waziri wa fedha mpya, 

Asha Migiro ni waziri Katiba na Sheria

Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi

Malima Waziri Mdogo Fedha

Kebwe ni Waziri Mdogo Afya

Chikawe ni Waziri Mpya Ndani 

Mhagama Waziri Mdogo elimu 

Pindi chana Waziri Mdogo Watoto Kinana Mama

Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo 

Waziri Mdogo Telele Mifugo
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: