SHEIK PONDA ANYIMWA DHAMANA, NA KURUDISHWA MAHABUSU

Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya kiislamu nchini, Sheik Ponda amerudishwa tena maabusu baada ya kunyimwa rufaa ya kesi yake iliyokuya ikisikilizwa leo katika mahakama ya Hakimu mkazi mfawidhi mkoani Morogoro. Kesi iyo imehairishwa hadi tarehe 1/10/2013
PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO KATIKA KESI HIYO
______________________________________________________________________________

 WAFUASI WAKE
ULINZI MKALI
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: