WANANCHI WAUA MAJAMBAZI MAWILI JIJINI MWANZA... !!



WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa na wananchi mkoani Mwanza wakati wakijaribu kuiba katika kituo cha mafuta cha GBP.

Akizungumzia tukio hilo shuhuda mmoja ambaye alikuwa eneo la tukio hilo alisema kuwa majambazi hao walifika katika kituo hicho cha mafuta wakitaka kuiba.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: