OMMY DIMPOZ AAMUA KUOMBA RADHI TENA...ADAI YEYE NI BINADAMU, HAJAKAMILIKA NA AMEJIFUNZA
Ommy Dimpoz kwa mara nyingine
ameamua kupaaza sauti yake na kuwaomba watanzania wamsamehe kwa
kauli zake mbaya kuhusu marehemu Ngwea....
Sambamba na msamaha huo,Ommy anadai kuwa amejifunza kutokana na kosa lake na kwamba hatarudia tena...
Uamuzi wa kuomba msamaha kwa mara ya pili umekuja baada ya msanii huyu kupigwa mawe mjini Dodoma hivi juzi
Hii ni kauli yake kupitia ukurasa wake wa facebook:
0 comments: