BABA YAKE DULLY SYKES ANASWA AKIVUTA BANGI....
Baba
mzazi wa mwanamuziki wa bongo flava nchini Dully Sykes, Mzee Sykes
pichani kama inavyoonekana akiwa na madawa haram ya kulevya aina ya
bangi mkononi huku mbegu mbegu zikiwa zimedondoka chini.-----
Baba
mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes , Mzee Sykes
hivi karibuni alinaswa akichambua bangi mikononi
mwake kwa ajili ya kuivuta.
Tukio
hilo la aina yake lilitokea nyumbani kwa msanii
aliyefahamika kwa jina la Shebo, na kushuhudiwa na mwandishii wetu ambae
alifanikiwa kumpiga picha mzee huyo akiwa na bangi mkononi mwake.
Mzee
huyo akiwa hana shaka yoyote alionekana akichambua bangi hiyo huku mbegu
zake zikidondoka chini kama mchele ( picha ya juu)
Hata
hivyo mzee huyo alishindwa kuendelea na zoezi la kuitayarisha bangi
hiyo kutokana na kumtilia wasi wasi mwandishi wetu akidhani ni afande
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: