Ajali Mbaya
Kuna
habari kwamba Gari ya JWTZ kutokea kambi ya Nachingwea likielekea
Mtwara 'kuongeza nguvu' limepata ajali mbaya na kusababisha maafa ya
askari...
Jumla ya askari 32 ndio walikuwa safarini kuelekea
mjini Mtwara wakiwa ndani ya gari hilo. Ajali hiyo imepelekea vifo vya
Askari wanne (4) wa JWTZ maeneo ya Kilimahewa huko Nachingwea na katika
ajali hiyo waliojeruhiwa ni saba (7).
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: