WASTARA NI NOMA KAFUNIKA WASANII WENZAKE MPAKA WAHESHIMIWA,HII NDIO GARI AINA YA HAMMER ANAYOMILIKI
Wastara akiwa ndani yahummer
Kumekuwa na kamtindo ka wasanii wetu hapa TZ kuweka picha ya vitu wanazonunuaonlinena wengine kuweka kwa ajili ya mauzo iliwapate cha kuongelewa na mashabiki wa hapabongo. Mwanadada anayefanya poa kwnye tasnia ya uigizaji Wastara Juma amewaweka mashabiki wake katika hali ya kutokujua baada ya kuweka picha akiwa ndani yagariAina ya HUMMER na kuzua maswali kwa mashabiki wakiuliza ni lake au si lake. Wapowaliyompa hongera kama gari ni lake na wapo waliyomponda na kusema anatafuta kick
0 comments: